Vol. 23 No. 4 (2014): Nordic Journal of African Studies
Back Issues

Fani za Fasihi Zinazoibua Fantasia Katika Hadithi za Watoto za Nyambura Mpesha

Janice Mwikali Mutua
Egerton University
Chai Furaha
Egerton University
Nordic Journal of African Studies

Published 2014-12-31

How to Cite

Mutua, J. M., & Furaha, C. (2014). Fani za Fasihi Zinazoibua Fantasia Katika Hadithi za Watoto za Nyambura Mpesha. Nordic Journal of African Studies, 23(4), 15. https://doi.org/10.53228/njas.v23i4.140

Abstract

This paper investigates, identifies and analyses the use of fantasy by children’s writers. Through the use of content analysis tool under the guidelines provided by Bormann’s Fantasy Theme Theory, literary devices used by children’s writers in relation to fantasy were identified and analysed. The theory stipulates that sharing of group fantasies creates symbolic convergence. Four tenets of the theory were used to analyse the structure and significance of fantasy in Nyambura Mpesha’s children’s stories which were published between the years 1997–2005. To achieve this, four selected Kiswahili short stories by the author were studied and analysed. Aspects of literature used by writers in the structuring of fantasy were spelt out. The data was analysed qualitatively. The study highlighted the elements of fantasy and showed how authors entertain and educate children through literary works.

Ikisiri

Makala hii inaichambua dhana ya fantasia kama mbinu katika utunzi wa hadithi za watoto. Imebainisha fani za fasihi zinazoibua fantasia katika hadithi za watoto za Nyambura Mpesha. Kwa mujibu wa nadharia ya fantasia ya Bormann, maana ya ishara zinazotumika katika fantasia husababisha ushirikiano na utangamano. Makisio manne ya nadharia hii yalitumiwa kama mihimili iliyouongoza utafiti huu katika kuchanganua muundo wa fantasia katika kazi teule za Nyambura Mpesha zilizochapishwa kati ya miaka 1997–2005. Kuafikia haya, vitabu vinne vya hadithi vilivyoandikwa na mwandishi katika lugha ya Kiswahili vilisomwa na kuchanganuliwa. Hadithi zilizohusishwa ni, Nyani Mdogo (1997), Kuku na Mwewe (2001), Chura na Mjusi (2003) na Mende Mdogo (2005). Data ya kimsingi iliangazia vipengee vya fasihi vinavyotumiwa na waandishi katika ujenzi wa fantasia. Mbinu ya kithamano ilitumika katika uchanganuzi wa data na kueleza matokeo ya utafiti. Makala hii imetoa mwanga kuhusu vipengee mbalimbali vya fasihi vinavyoibua fantasia katika hadithi za watoto.